Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

You can do it hiyo ya kulala saa 4 bila simu nishaiweza though mwanzoni nilikuwa naona mtihani....hiyo no 2 ndio najitahidi kupambana nayo now

Sent using Jamii Forums mobile app
Namba 2 siyo ngumu sana na ukizoea mambo ya budgeting aisee utafurahia sana. Namba moja pia nadhani ni suala la mazoea tu. Nitaiweza [emoji123][emoji123][emoji123]
 
Jamaa kaamua tu kututusi bro atakua ni hater maana ata kama ni kweli mimi naamini huwezi kumpangia mtu a post wapi na wapi asipost ilimradi asivunje Sheria
Ina maana alikuwa anaongelea uzi huu kama Cap alivyosema? He can't be serious. Tuachane naye huyo. Wameshaushambulia uzi huu kwa kila aina ya mashambulizi...Washindwe na walegee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…