Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Pyeeeep !!! Halichunwi hata kwa limbwata la Kitanga [emoji16][emoji16][emoji16]Humu ndani kwema
Nimekuja kutoa salamu leoPyeeeep !!! Halichunwi hata kwa limbwata la Kitanga [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Humu kwema kamanda. Kwako huko vipi?
Kuna watu wamepinda sana aisee...Superbug amepata ajali mbaya sana Milano Italy muda huu - JamiiForums
Habari za hivi punde mwana jf maarufu super bug ameapata ajali mbaya ya gari muda huu Milan Italy yuko hospital mahututi tumuombee Tunawasiliana na ndugu zake walioko Tanzania kwa taarifazaidiwww.jamiiforums.com
Hapo watu wanawaza kuchangishwa tuKuna watu wamepinda sana aisee...
View attachment 1071495