Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

c54cc3ae5607c843291590841856dd8c~2.jpeg
 
Sio Dar pekee bali hadi mikoani ni joto lisiloelezeka kila siku. Hii husababisha watu kutokwa jasho lisilo la kawaida n ahata mwili na nguo nzima kulowa kama vile umenyeshewa na mvua. Waweza ona wengine wakitokwa jasho makwapani ikiwa na rangi ya njano.
 
JASHO LA NJANO KWAPANI LASABABISWHA NA NINI?
Kwa kawaida jasho la binadamu lina rangi nyeupe hivyo kwa mtumiaji wa manukato iwe perfumes ama deodorants hasa zenye aluminum ndani yake, hii huchanganyikana na jasho na kusababisha rangi ya njano ambayo hutokea kwa wengi makwapani.
 
Hivyo perfumes zenye alluminium ndani yake zichanganyikapo na jasho lako hutengeneza rangi ya njano. Pia mtu apuliziapo perfumes ama deodorant kupita kiasi nayo huchangia. Wakuta mtu spray inaisha ndani ya wiki maana hupuliza nyingi utadhani ni dawa ya mbu.
 
NAMNA AMBAVYO UNAWEZA ZUIA TATIZO HILI

Ununuapo deodorants ama perfumes, kagua mchanganyiko wake kuepuka kununua zenye aluminum nyingi. Brands kama NIVEA zina deodorants special na nzuri zizuiazo tatizo hili.
 
Back
Top Bottom