Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Usije tu ukakosea ukasema barafu inaongeza nguvu za kiume. Popsicle zitapanda bei hata mara sabini [emoji16][emoji16][emoji16]4:kumassage barafu usoni pia huongeza blood circulation inayozuia ngozi yako kuzeeka na kupata makunyanzi mapema.
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji122][emoji122][emoji122].
What an inspiration...
View attachment 1072195
HahahahahaUsije tu ukakosea ukasema barafu inaongeza nguvu za kiume. Popsicle zitapanda bei hata mara sabini [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu naye vipi?
HahahahahahaUsije tu ukakosea ukasema barafu inaongeza nguvu za kiume. Popsicle zitapanda bei hata mara sabini [emoji16][emoji16][emoji16]
Mzungu akijenga ana sifiwa,huyu mbongo kajenga vyote hivyo basi anaitwa boya mara kapoteza muda wakeHuyu naye vipi?
Ana inspiration ya kujenga yote haya ama?
Ni Msukuma?
π π πMzungu akijenga ana sifiwa,huyu mbongo kajenga vyote hivyo basi anaitwa boya mara kapoteza muda wake