Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nitume meseji nidakwe? [emoji16][emoji16][emoji16]Umetuma meseji?
[emoji16][emoji16][emoji16]. Mahindi labda...Kanasaga nini?
Kuna wale wa kuazima aiseee utadhan anafanya msako wa kunguni na virobotoNi faaa faaaa faaa ...fyuuu fyuuu fyuuu
mmm ukiinunua perfume ya Brand $150 hivi ni kidunchu tu.. mpaka ifike miezi 6
Nipe nikupeAct like one. Unatakaje like wakati hutoi like?
Ngoja ajibu..[emoji16][emoji16][emoji16]. Mahindi labda...
Koromije moja.Salon yako iko wapi? tuje kurembwa
Sijui maana nimeiokota tu mtandaonNajua hupendagi maswali (yasiyo na kichwa wala miguu) lakini kajenga wapi huyu dogo? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
🤣🤣🤣Nitume meseji nidakwe? [emoji16][emoji16][emoji16]
Heeee... biashara huiwezi weyeKoromije moja.
Msije tu mkajichanganya mkaondoka na mimba [emoji16][emoji16][emoji16]
Safi sana stretching hiyooo
Hakuna..Wote tungekuwa tunatachi nyu mane everidei