Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hukunielewa...Consuela wa nini Bro, kwanza na mipango nae.. Fragaria anatosha.
Ua na wewe una mipango Fragaria??
Fragaria nilikuwa nimeshamkaribisha kwenye msosi akasema atakuja. Wewe nakupa uhuru wa kuja na dadangu unaniruka tena. Aaargh !!![emoji36][emoji36][emoji36]