capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Usiku wa uefa....
Afe Beki afe kipa,timu mbili lazima zipatikane leoLeo ni leo
iAina za perfume
Eau de Perfum
Katika chupa ya perfume aina hii, manukato ( chanzo cha harufu) ni asilimia 15 hadi 20. Huchukua muda mrefu zaidi kuisha mwilini yani masaa manne hadi matano mwilini.
Amen🙏Afe Beki afe kipa,timu mbili lazima zipatikane leo
Good for you..Am not
Kwani amekosea? sio mahindi?[emoji23][emoji23][emoji23]mmenifurahisha kwenye hili jibu
Do You want a room?Good for you..
Room for?Do You want a room?
Kha! 1%? maji ya ubuyu tu hayo.. ndio zimejazana hizo wanzipaki vizuuuriEau Fraiche
Hizi huwa na asilimia ndogo zaidi ya manukato yani asilimia 1 hadi 3. Pia ina alcohol kidogo na maji.Hudumu kwa muda mfupi zaidi mwilini.