Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hhaahaha nasikia mwanamke akiwa mweupe na ng'ombe wanakuwa wengi
Yep. Mwanamke mrefu, mweupe, mrembo, msomi, mchapakazi, anayejielewa and well mannered kama Jakitoo andaa ng'ombe zaidi ya 50. Sasa tumepata ahueni kidogo kwa sababu hali ya hewa hairuhusu watu kuwa na ng'ombe wengi. Ng'ombe sasa wamegeukia mfukoni. Mtu unapigwa ng'ombe 50 na kila ng'ombe laki mbili au tatu...
 
Back
Top Bottom