Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Hakuna siri chini ya juaWE MWENYEWE SIUNAJUA
Nimeshakwambia mpenzi.Nin tatzo au nambie pm
GWisa Gwisaa....DUNIA YA MUNGU VITU VYA MZUNGU
dah! haya mkuuObserve and learn. Unapata mmoja akupendaye unatulia. Siyo kama wewe unatembea na mfuko umejaa pete za uchumba kila unayekutana naye ukamkonyeza akajibu basi unamvisha pete. You can't live like that my friend!
Nakufahamu vizuri carbamazepineSi unajua kufurahi ni kawaida yangu
Mh!Nakufahamu vizuri carbamazepine
Njoo nikupe psychotherapyNina mawazo mimi...
Kula likes mwendo huu ni wachacheNgoja niweke simu chaji ili tusukumize thread
Waiiit Ukhuty, nimekujuza tayari shida yangu.Kwa herin
HahahhaahaMeza like na mishairi yako uchwara
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yep. Mwanamke mrefu, mweupe, mrembo, msomi, mchapakazi, anayejielewa and well mannered kama Jakitoo andaa ng'ombe zaidi ya 50. Sasa tumepata ahueni kidogo kwa sababu hali ya hewa hairuhusu watu kuwa na ng'ombe wengi. Ng'ombe sasa wamegeukia mfukoni. Mtu unapigwa ng'ombe 50 na kila ng'ombe laki mbili au tatu...Hhaahaha nasikia mwanamke akiwa mweupe na ng'ombe wanakuwa wengi