Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Bios kula likeYah, pia sio lengo langu kutoa. Yaani namaanisha kama yai ndo limepevuka hiyo siku ya 14 then ikakutana na sprm za siku mbili nyuma kabla, hiyo siku ya 14 kwa yai kupovuka ndo akameza fragly, let say 3. Hapo itakuaje Mkuu?