I doStrawberries are the best....if you know what I mean [emoji16][emoji16][emoji16]
Sina kila kitu...Kitu gani huna?
Mshambuliaji wa Uhispania Diego Costa, 30, amekataa kufanya mazoezi na Atletico Madrid baada ya kupigwa marufuku kutocheza mechi nane. (AS - in Spanish)
Kwan huyu ni weweeee?
Mshambuliaji wa Uhispania Diego Costa, 30, amekataa kufanya mazoezi na Atletico Madrid baada ya kupigwa marufuku kutocheza mechi nane. (AS - in Spanish)
Heh! Enamel erosion ndio ishatokea basiHealth is Wealth
Brushing your teeth right after a meal isn't recommended because your tooth enamel SOFTENS after eating,
you should wait about 30 minutes
Ni strawberry hiyo inaitwa NumbisaKwan huyu ni weweeee?
Liverpool huenda ikashiriki katika mechi ya kirafiki nyumbani huku uwanja wa klabu ya Tottenham ikitarajiwa kuandaa mechi hiyo. (Liverpool Echo)
Aaah nilodhan unatoa ushahidi wa vitendo kwa ka pichaNi strawberry hiyo inaitwa Numbisa
Liverpool huenda ikashiriki katika mechi ya kirafiki nyumbani huku uwanja wa klabu ya Tottenham ikitarajiwa kuandaa mechi hiyo. (Liverpool Echo)
Huoni ngozi ni flawless kwa ajili ya kula brocolli deile? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kwan huyu ni weweeee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro banaHuoni ngozi ni flawless kwa ajili ya kula brocolli deile? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hahahaaa njoo PM nikuonesheTunasubiri Skin hiyo
Hata yeye ni cheupe hivyo hivyo...Kwan huyu ni weweeee?
Mkwaju wa adhabu wa Alexandre Lacazette katika kipindi cha kwanza umeipa ushindi wa ugenini wa bao 1-0 Arsenal na kuisaidia kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Europa League, kwa kuiondosha Napoli.
Arsenal imeiondosha Napoli kwa jumla ya mabao 3-0, kufatia ushindi wake wa bao 2-0 iliyoupata kweye mchezo wa kwanza uliopigwa Emirates wiki iliyopita.
Pamoja na Napoli kuruhusu mashabiki wa timu hiyo kuingia uwanjani San Paolo mapema, masaa matatu kabla ya mchezo kuanza, badala ya kuongeza molari ya wachezaji, mashabiki hao walionekana kulowa muda ulivyozidi kuyoyoma.