Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni nani anayeamua kuwa haya ni mashudu na haya siyo? Ni wahusika wa mazungumzo, hadhira, mada, muktadha au majiniazi kama wewe mnaoweza kufika kijiweni na mara moja mkabaini kuwa watu wanaongea mashudu; na kuwaanzishia mada nzito nzito?

Karibu kwenye chit chat kamanda ...[emoji16][emoji16][emoji16]

Ndiyo kuna jamaa alianzisha uzi akililamika kwanini jukwaa la habari na hoja mchanganyiko raia wanaposti hovyo mambo ya Ngono tu hawapost mambo ya maana

Nikamwambia watu tumetofautiana don’t stress tembelea nyuzi zinakupa amani sasa jamaa kaingia Tu anakwambia mashudu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16]. Mara nyingi watu wa aina hiyo huwa wanadhani ni "majiniazi" sana...ni mbwembwe tu za kujiona na inferiority complex...
 
Back
Top Bottom