Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

57360406_134876907595236_8923920108490097023_n.jpg
 
Huoni kuwa unapewa like hata kama umecomment mashudu
Ni nani anayeamua kuwa haya ni mashudu na haya siyo? Ni wahusika wa mazungumzo, hadhira, mada, muktadha au majiniazi kama wewe mnaoweza kufika kijiweni na mara moja mkabaini kuwa watu wanaongea mashudu; na kuwaanzishia mada nzito nzito?

Karibu kwenye chit chat kamanda ...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom