Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Mmh mi nilisema nafanana na naniliu tu ...sikusema hiyo statement
Tupiamo basi, we nae! [emoji1550][emoji6][emoji6]
Mmh mi nilisema nafanana na naniliu tu ...sikusema hiyo statement
Olivier Giroud aliifungia Chelsea bao la tatu na lake la kumi katika michuano hiyo ya Europa League msimu huu (117) kabla ya Pedro kuongeza la nne (27).
Mabao mawili ya harakaharaka ya Sevcik (51, 54) nusura yatie mchanga kitumbua cha Chelsea, ambao walipambana kuhakikisha wanaziba njia zote za Prague
Yote yepi kwani? Ndio imagination hizo..
umesema unataka kuona flawless skin..
Kwani si hata ya mkono tu inatosha kuona?
Nimefikiria pia Mafyekero noma sana!
Binafsi nmefeli mtihani huu.
Sad!
Ushindi wa Chelsea unaifanya kuwa klabu ya kwanza England kushinda michezo 11 katika michuano ya Ulaya kwenye msimu mmoja, lakini kocha wa Chelsea itabidi afanye kazi ya ziada kuhakikisha timu hiyo inapata kombe la Ulaya la kwanza tangu mwaka 2013 na kufuzu mashindano ya Klabu bingwa Ulaya mwakani.

🤣🤣🤣🤣 Aisee..Yeah hiyo pia inahitaji kufikiria kama sitakuwa mwaminifu kwa jambo dogo siwezi kuwa mwaminifu kwa lililo kubwa
Kwa hiyo Bro, huko ulipoitwa hutembeagi kabisa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sijafikiria fyekero ila ndiyo nilivyo
Hahaha ..Mwenzio nimemwambia aje PM aione .. anafikiria..Tupiamo basi, we nae! [emoji1550][emoji6][emoji6]
Katika michezo mingine, Valencia imeitandika Villareal 2-0, Frankfurt ikaizaba Benfica 2-0, timu hizo zinaungana na Chelsea na Arsenal kucheza nusu fainali ya Europa.
Chelsea sasa itavaana Frankfurt, Arsenal itawakaribisha Valencia katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali hiyo itakayopigwa Alhamisi ya Mei 2 mwaka huu.

Kwa hiyo Bro, huko ulipoitwa hutembeagi kabisa?