Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Bios kula likeYah, pia sio lengo langu kutoa. Yaani namaanisha kama yai ndo limepevuka hiyo siku ya 14 then ikakutana na sprm za siku mbili nyuma kabla, hiyo siku ya 14 kwa yai kupovuka ndo akameza fragly, let say 3. Hapo itakuaje Mkuu?
Kula likesDUNIA YA MUNGU VITU VYA MZUNGU
Punguza wivu wifi oooppss[emoji125] [emoji125] [emoji125]Amefanyaje?
Be humble, Toa likes Pata likesSit down low
Tafuta pesa mkuu. Hayo mambo ya utu, thamani na burudani ni vikolombwezo tu nowdays. Get the mighty US $.....na kila kitu kitakuwa shwaaaaariiii!Utu wangu na thamani ina maana kweli hakuvijua, licha ya burudani na mapenzi nayo akatimua.
Bora nisipate like ila nipate msaada juu ya hilo jambo MkuuBios kula like
Wasiwasi ndo akiliNini ondoa hofu
carbamazepine mnafahamiana vizuri
Safi sana.Ameshatoka nipe zawadi yangu
Ngoja tuanze na FOREXTafuta pesa mkuu. Hayo mambo ya utu, thamani na burudani ni vikolombwezo tu nowdays. Get the mighty US $.....na kila kitu kitakuwa shwaaaaariiii!