Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yeah, si unaweza kui convert kuwa namba ya kawaida ukaitoa huko kwenye base two? Haya mambo ya AND, NAND, OR na NOR Gate ni mgogoro! [emoji23][emoji23][emoji23]
Nime kariri zile nakutana nazo mara nyingi kwa issue zangu.

Hizo conversions sinazo tena kichwani.

Hiyo code nimeandika hapo ni Hello world!
 
d6eef0b91cd4f29a8dd790e27e2aae64.jpeg
 
Ni miaka minane imekatika tangu mara ya mwisho Guardiola alipobeba ubingwa wa Ulaya alipokuwa na Barcelona ilipowasambaratisha Manchester United kumpa taji lake la pili la Ulaya akiwa kocha huku kwenye kikosi chake kulikuwa na mastaa matata kama Lionel Messi, Andres Iniesta, Xavi na Carles Puyol.
 
Guardiola alianzia huko Bayern Munich kusaka ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na kushindwa hadi sasa akiwa na Man City, ambapo kikosi chake kimeruhusu mabao 27 katika mechi 12 za mtoano ambazo ameishia kutupwa nje tu katika misimu sita ya karibuni.
 
Back
Top Bottom