capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nime kariri zile nakutana nazo mara nyingi kwa issue zangu.Yeah, si unaweza kui convert kuwa namba ya kawaida ukaitoa huko kwenye base two? Haya mambo ya AND, NAND, OR na NOR Gate ni mgogoro! [emoji23][emoji23][emoji23]
Naanzaje kufunga PM kwa mfano?🤣🤣🤣 Ntakujaje sasa si mmesema wote mmezifunga PM zenu
Wanakwambia mwanamke tako,sura hata mbuzi anayoSasa huyu uzuri wake nini? Tako tu??
Wanawafariji tuu, suru muhimu kwa mwanamke.Wanakwambia mwanamke tako,sura hata mbuzi anayo
Karibu sana kwa mariamu birianiJamani tualikane Pasaka, sisi wagumu hatuna pakutokea aisee! [emoji1][emoji1]
Hewalaaaaa hahahaha
Wait a minute! Did you just hash tag me? Mi fyekero la nani?Unafikiria kama unaitaka ama unafikiria kuja PM?
Kama PM hata usikuje.
#Fyekero