Maelezo yamekua mafupi sana1. Lionel Messi – dakika 657, mabao 10
Mshindi mara tano wa Ballon d’Or, Lionel Messi amekuwa kwenye kiwango bora kabisa huko katika kikosi cha Barcelona msimu huu.
Basi kumbe maelezo yaliendelea 😀Messi yupo bize kuwatafutia Barcelona ubingwa wao wa kwanza wa Ulaya tangu mwaka 2015, ambapo hapo katikati mambo yao yalikuwa hovyo na kuwashuhudia wapinzani wao Real Madrid wakitamba kwenye mikikimikiki hiyo kwa miaka mitatu mfululizo.
Hahahaha wewe kama cole tuMaelezo yamekua mafupi sana
Basi kumbe maelezo yaliendelea 😀
Unapomuongelea King lazima maelezo yajitosheleze bhana 😁😁Hahahaha wewe kama cole tu
Hahahahaha jamaniUnapomuongelea King lazima maelezo yajitosheleze bhana 😁😁
Huyo Cole ni Mkatalunya mwenzangu
Mpaka wamezoeana sasaManchester City vs Tottenham Hotspur
Love you all! Catch you later!