Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

✔✔✔
 
View attachment 1076485
Skendo juu ya bro SHIMBA YA BUYENZE njoo ituambie ulipumzika na mrembo gani humu jf kwa siku tano mfululizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro Bro Bro.......[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Haya mambo ya code, ubuyu na udaku waachie mabinti bro

Hapa code inasema SIYO SYB bali hiyo SYB ibadili kwa Kisukuma. Hapo ndipo penye siri...

Hint ya pili ni hii: Huyo jamaa ni memba maarufu sana hapa. Na ni mkongwe humu. Mimi sina umaarufu wo wote humu na mbali na hapa kwenye kijiwe chetu sidhani kama najulikana kwingine kokote. Na tunapotaja wakongwe mara nyingi hawa ni watu waliokuwepo tangu mwanzo kabisa. Miaka ya 2010 huko na kurudi nyuma...

Na kusema kweli mimi sina pesa ya kukaa hoteli ya nyota tano kwa wiki nzima (achilia siku moja)....

Nadhani mwenye code hii, kama kweli ni Msukuma kama huyo jamaa anavyodai basi ni NN au jiniazi K...

I rest my case bro [emoji36][emoji36][emoji36]
 
This is cool...

Hakuna yale maswali ya kuudhi. Hata wiki haijaisha tayari "Sasa una mpango gani na mimi?" [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…