Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Leo umeniamria kweli bro. We Mwanza ulishatoka? Bado naikumbuka ile bili bro [emoji16][emoji16][emoji16]Bro hizi issue zinapokua upande wako ndio inakua tuwaachie mabinti sio?
Wewe jitetee uwezavyo ila mimi ndio nimeshapata pakukushikia, as you know vita ni vita bro
Kuhusu swala la kutokua na uwezo wa kugharamia show hapa chini nilielewa sana mchanganuo wako bro
View attachment 1076530