Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro hizi issue zinapokua upande wako ndio inakua tuwaachie mabinti sio?

Wewe jitetee uwezavyo ila mimi ndio nimeshapata pakukushikia, as you know vita ni vita bro

Kuhusu swala la kutokua na uwezo wa kugharamia show hapa chini nilielewa sana mchanganuo wako bro
 
Hahahahahah davet bana naona unalipiza kisasi,hakikisha bro anakubali ni yeye
 
😂😂😂 Eti yeye ameniweka Mwanza mpaka leo ila leo yameibuka yake anajitetea kwa hoja nzito nzito

Sasa leo Ata asipokubali huyo ni yeye tu alikua anashusha thanks kutoka nyanda za juu huko......
Hahahaha kakuweka mwanza miezi sita na ushee bado tu kukuita ali choki maana kaoa jana mke wa pili isijekua ni wewe
 
Hahahahahaaha, Kama hii ni kweli kamanda SYB umeniangusha sana.
Unamtoa mtu Arusha unakuja kumuhonga 50,000 michekecho ya siku 3!!!? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…