Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Leo umeniamria kweli bro. We Mwanza ulishatoka? Bado naikumbuka ile bili bro [emoji16][emoji16][emoji16]Bro hizi issue zinapokua upande wako ndio inakua tuwaachie mabinti sio?
Wewe jitetee uwezavyo ila mimi ndio nimeshapata pakukushikia, as you know vita ni vita bro
Kuhusu swala la kutokua na uwezo wa kugharamia show hapa chini nilielewa sana mchanganuo wako bro
View attachment 1076530
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kamanda wetu ameshikwa pabaya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahahah davet bana naona unalipiza kisasi,hakikisha bro anakubali ni yeye
Nitakubali na yeye akikubali kuwa alikwama MZA kwenye kile kimzinduo [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahahah davet bana naona unalipiza kisasi,hakikisha bro anakubali ni yeye
Haka kafarao haka yaani hatari sana ...
Wewe na ushahidi wa bili uliweka mwenyewe bro. Kesi yako ni tofauti kabisa bro...[emoji23][emoji23][emoji23] Eti yeye ameniweka Mwanza mpaka leo ila leo yameibuka yake anajitetea kwa hoja nzito nzito
Sasa leo Ata asipokubali huyo ni yeye tu alikua anashusha thanks kutoka nyanda za juu huko......
Mwili wa binadamu unaweza kufanya vitu vingi sana. Basi tu...
Nimeangukiwa na bonge la kashfa kamanda. Inasemekana eti nilikwama kwenye mgegedano hevi huko Nyanda za Juu Kusini. Ugumu wangu uko anda ataki. Mgumu mwenzangu hata haji kunitetea...Mkuu naona unatajwa tajwa, angalia wewe ni Mgumu Kamanda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Duh!!!Ngoma itambae..View attachment 1076550
Jamaniiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kamanda wetu ameshikwa pabaya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mtu akitolewa Arusha inatakiwa ahongwe sh. ngapi kamanda? Kuhonga si inategemea na uwezo wa mhongaji ama?Hahahahahaaha, Kama hii ni kweli kamanda SYB umeniangusha sana.
Unamtoa mtu Arusha unakuja kumuhonga 50,000 michekecho ya siku 3!!!? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mhhhh !!!Hahahahhaa ni bro huyooo
Njoo hapa Igoma nikuuzie kakiwanja kwa bei nafuu tuwe majirani bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] Eti yeye ameniweka Mwanza mpaka leo ila leo yameibuka yake anajitetea kwa hoja nzito nzito
Sasa leo Ata asipokubali huyo ni yeye tu alikua anashusha thanks kutoka nyanda za juu huko......
Huyu dogo akikua sipati picha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1076528