Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
ππHealth is Wealth
STRAWBERRY protects our HEART by managing the BLOOD SUGAR level and flushes out the bad cholesterol from our body.
Acha nipambane na hali yangu kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mgumu Andaetini anapitia mbali anakuangalia ulivyokamatika[emoji16][emoji16]
π€£π€£π€£ Nacheka kama mazuri vileBro Bro Bro.......[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Haya mambo ya code, ubuyu na udaku waachie mabinti bro
Hapa code inasema SIYO SYB bali hiyo SYB ibadili kwa Kisukuma. Hapo ndipo penye siri...
Hint ya pili ni hii: Huyo jamaa ni memba maarufu sana hapa. Na ni mkongwe humu. Mimi sina umaarufu wo wote humu na mbali na hapa kwenye kijiwe chetu sidhani kama najulikana kwingine kokote. Na tunapotaja wakongwe mara nyingi hawa ni watu waliokuwepo tangu mwanzo kabisa. Miaka ya 2010 huko na kurudi nyuma...
Na kusema kweli mimi sina pesa ya kukaa hoteli ya nyota tano kwa wiki nzima (achilia siku moja)....
Nadhani mwenye code hii, kama kweli ni Msukuma kama huyo jamaa anavyodai basi ni NN au jiniazi K...
I rest my case bro [emoji36][emoji36][emoji36]
Hahahahhaa ni bro huyooo
Waambie wahindi na sari zao
Kwani wewe bro unamuonaga ni mgumu sana? Huyu jamaa kiboko akifungiwa kafungiwa na hiyo 50 kwake sio issue kubwa kabisaHahahahahaaha, Kama hii ni kweli kamanda SYB umeniangusha sana.
Unamtoa mtu Arusha unakuja kumuhonga 50,000 michekecho ya siku 3!!!? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
π Umeona eee.. huo mchanganuo sio wa nchi hiiBro hizi issue zinapokua upande wako ndio inakua tuwaachie mabinti sio?
Wewe jitetee uwezavyo ila mimi ndio nimeshapata pakukushikia, as you know vita ni vita bro
Kuhusu swala la kutokua na uwezo wa kugharamia show hapa chini nilielewa sana mchanganuo wako bro
View attachment 1076530
Jamaniiii..ukute ni Mama yake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1076528
π€£π€£π€£π€£πππ Eti yeye ameniweka Mwanza mpaka leo ila leo yameibuka yake anajitetea kwa hoja nzito nzito
Sasa leo Ata asipokubali huyo ni yeye tu alikua anashusha thanks kutoka nyanda za juu huko......
Hahah ile Bill sawa sikatai ila wewe umefunga safari na mzigo ukafunga safari hadi nyanda za juu siki5, ulichokomesha zaidi nikwamba mzigo umeutoa humu humu JfLeo umeniamria kweli bro. We Mwanza ulishatoka? Bado naikumbuka ile bili bro [emoji16][emoji16][emoji16]