Vipi Bestie?Hmmmm! πππ
Why?Mwanaume ukishakuwa na familia mke na mtoto ama mke peke yake jitahidi hata kama utatoka dinner na washikaji ukirudi home usikatae kula chakula..
π€£π€£π€£Astaghafir!!!! Astaghafir!!
Ila sijasema kama nimeshakosea au nina huo mpango ah ahh! Allah atuepushe na hii dhambi
πππ€£π€£π€£
Why?
Mwanaume ukishakuwa na familia mke na mtoto ama mke peke yake jitahidi hata kama utatoka dinner na washikaji ukirudi home usikatae kula chakula..
πππAnother hit from you ππ½ππ½ππ½ππ½
Vizuri kuaga pia, kuna watu hatuna utaratibu wa kutoa taarifa. Tunaumiza hawa viumbe.Si unaaga tu na kuwa mkweli kwamba leo hii msinihesabu kwenye Supper/
Dinner nitakula kwa mchepuko/gengeni/kwamamantilie au hotel.
Really? so hata ukishiba unakula tu hivyohivyo to please her?Kwa sababu mke wangu hapendi hii tabia.
Sasa why huagi jameni?Vizuri kuaga pia, kuna watu hatuna utaratibu wa kutoa taarifa. Tunaumiza hawa viumbe.
Sasa kwa nini nikule kushiba wakati najua wife ameendaa chakula?Really? so hata ukishiba unakula tu hivyohivyo to please her?
I heard about this from some of my friend...they have to touch a food at least as a sign of respectReally? so hata ukishiba unakula tu hivyohivyo to please her?