capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Unajibu kinyonge hadi na feel guilt . Kwanza hiyo comment sikuandika mimi, ni C&P.Sawa buana..
Unajibu kinyonge hadi na feel guilt . Kwanza hiyo comment sikuandika mimi, ni C&P.Sawa buana..
Pamoja sana mkuuSawa Mkuu umeeleweka.😎
Mutuache na GOT yetu!Unajibu kinyonge hadi na feel guilt . Kwanza hiyo comment sikuandika mimi, ni C&P.
Nipo njiani naelekea mkesha.....twende mkeshaUpo wapi? Naona kama sijiskii kuwa peke angu hapa.
Really?You do know that you posted her more than once?
Ikiwa ni mkesha ndo huwa tunafanya nini huko?Nipo njiani naelekea mkesha.....twende mkesha
😀 Basi sawa..Really?
I didn't know that, I dont know her.
Unajua nikivutiwa na mtu IG labda picha ake ikapita bahati mbaya huwa nafollow tu.
Wengi siwajui.
Unahamasika kukosea eeeAahaah hapana mkuu sijamaanisha kua nimekosea njia aisee 😂😂😂😂 nimesema tu wanahamasisha mtu ukosee njia
Mutuache na GOT yetu!
Duh kweli huipendi..Casts wake hawavutii, labda yule mama wa Dragons. Hainivutii kwakweli.
Nimeangalia mpaka season 5 eti wanasema itachangamka badae.
Bakini nayo tu.
Hahahah....Unahamasika kukosea eee
AstaghfirullahHahahah....
Swali gumu kweli ila jibu lake ni "Ndio"
Astaghafir!!!! Astaghafir!!Astaghfirullah