Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hakuna watu wenye nguvu kama walevi na watoa 'biriani' unaambiwa eneo lake la biashara wateja wanajaa. Nahisi ni kwa muda tu kisha watapungua hasa baada ya kunyimwa kumuonja mpishiDooh! Hatari sana, sasa leo nimeona posts humu jukwaa letu pendwa kuhusu biriani biriani ikabidi niulize kwa wadau wa karibu nao hawajui ndio nikaona nivunje ukimya bhana asante kwa ufafanuzi. Ila hii issue nahisi inaweza pandisha au kumuharibia biashara yake