Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

56584403_442570503219222_4645518000639165160_n.jpg
 
Ni uongo kushabikia mpira wa Africa.

Niliatamani kuwa na team ya kushabikia nyumbani ila sasa sitaki tena.
Nafatilia kwa humu tu. Just imagine kisa mechi za ligi ya mabingwa afrika simba wakawa wanahairisha mechi watakavyo. Saiv wana viporo kibao. Ligi inaenda ukingon ila simba hawajacheza na azam mechi ya raund ya kwanza na ya pili pia.
 
Back
Top Bottom