Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tena ngoja nizifukue zile scrinishoti za zinduzi zote mbili. Bado ninazo. Sema tu mzinduaji wa kwanza aliniomba sana niache vinginevyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hakika mkuu huyu jamaa wa nyanda za juu alinishikia sana amani yangu hasa kipindi kile cha uzinduzi wa kwanza
Ndio Bro, "Not Based on".Unaunga mkono hii hoja?
Wanakwenda wapi hawa? Ni lazima wapite hii barabara?
We acha tu ...
ππππBado kakwama Rocky City vilima vya Nyegezi huyu bro. Anashikilia rekodi ya kuzinduliwa hapa JF lakini kanishupalia kweli kweli miye kuzama wiki moja Nyanda za Juu Kusini...
#Mgegedowawikinzimanyandazajuukusini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#hotelyanyotatano
Chura siyo mchezoNgoja nikutafutie Mkuu ila si yeye kuna jamaa alituma. Hii hapa Mkuu, nadhani ndiye yeye huyu.