Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahah!!Mwokozi Amefufuka leo. Na madhambi yangu yote ya kule Nyanda za Juu Kusini, na mengineyo, leo nimeyatubu na yamefutwa kabisa. Mungu ni Mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahah!!
I know you bro umetubu sawa ila wewe ni kama maji ata ukiyachemsha vipi lazima yatarudia ubaridi wake tu [emoji23][emoji23]
Ila atakama umetubu kwa dhati sisi bado tumebaki na kumbu kumbu zako bro, hakika tutakua tunakumbushana humu
Na kwako pia bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nami nawatakia sikukuu njema ya Pasaka kwa woote
🙏🙏🙏Na kwako pia bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahah mixer vifungu kabisa