Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah mixer vifungu kabisa

Lakini..

22 Dhambi zake zote hazitakumbukwa kwa Mola wake na sio kwa wanadamu na walimwengu wenzake
Sasa hata binadamu wakizikumbuka ina athari gani bro kama Mungu Ameshazisahau? Na wenyewe si wana madhambi tu mengi ya kuzinduliwa non stop; na mengineyo?

I rest my case bro...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]

View attachment 1077433
Kwani ata Mungu asipozisahau bado kwa wanadamu itakua na athari gani bro? Hapa issue ni kumbu kumbu uliyotuachia tu itatusaidia kujua umetoka/tumetoka wapi na wapi u/tunaenda 😁😁

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† #Madhambiyakuzinduliwanonstop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…