Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Real Madrid

La Liga: 2011–12, 2016–17

Kombe la Mfalme: 2010–11, 2013–14

Spanish Super Cup: 2012, 2017

Ligi ya Mabingwa UEFA: 2013–14, 2015–16, 2016–17, 2017–18

UEFA Super Cup: 2014, 2017

FIFA Club World Cup: 2014, 2016, 2017
 
Hahahahaa haya msomeni mnyama hapo
Mnyama sijaona cha ajabu kwenye huo ubingwa wa Juve maana kwa misimu nane mfululizo jamaa wanachukua tu bila ata yeye kuwepo. Pia Juve walimsign mnyama kwaajili ya UCL ila imekua kama walibet tu coz mpaka sasa tayari hawapo huko.....

Kubwa mataji ktk ligi kubwa tatu sio kesi pia japo ndio kaweka record ila records nyingine za kitoto sana. Rejea timu alizopitia kipata hizo hizo ndoo Man U, Madrid, na Juve
 
Kwa mariam biriani
Msije mkaenda kwa Hadija Pilau. Huku nasikia ni hatari zaidi. Dar mji mzito sana wallahi...

Tumshukuru Mungu kwa yote [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
tapatalk_1555798154488.jpeg
 
Mnyama sijaona cha ajabu kwenye huo ubingwa wa Juve maana kwa misimu nane mfululizo jamaa wanachukua tu bila ata yeye kuwepo. Pia Juve walimsign mnyama kwaajili ya UCL ila imekua kama walibet tu coz mpaka sasa tayari hawapo huko.....

Kubwa mataji ktk ligi kubwa tatu sio kesi pia japo ndio kaweka record ila records nyingine za kitoto sana. Rejea timu alizopitia kipata hizo hizo ndoo Man U, Madrid, na Juve
Gazeti lote hili sijaona point hahahaa chezea mnyama. Nimeweka rekodi zote zisome umuelewe.

Juve kama pesa za kumsajiri CR7 walirudisha ndani ya miezi michache na kuhusu UEFA kawafikisha mbali na magoli kajiongezea. Cheki madrid bila ronaldo wamedondoka vibaya.
 
Back
Top Bottom