Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mmmmmhh man u jamani
Kwa mariam birianiPasaka leo mnalia wapi wapendwa?
Boring sana. Bao la kizembe kweliWanazingua kweli aisee
Tumekuja 😀
Hahahahaa haya msomeni mnyama hapoTumekuja 😀
Hahaha hii nayo ni habari?Ronaldo ameweka historia hiyo baada ya kuisaidia Juventus kutwaa taji la nane la Serie A ‘Scudetto’ na kwanza kwa Mreno huyo.
Hahahahaha wivu huoHahaha hii nayo ni habari?
Jamaniii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kwa mariam biriani
Mnyama sijaona cha ajabu kwenye huo ubingwa wa Juve maana kwa misimu nane mfululizo jamaa wanachukua tu bila ata yeye kuwepo. Pia Juve walimsign mnyama kwaajili ya UCL ila imekua kama walibet tu coz mpaka sasa tayari hawapo huko.....Hahahahaa haya msomeni mnyama hapo
[emoji23][emoji23][emoji23]si tutashangaa msabwax live liveJamaniii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Huko hakufai !!!
Liverpool fans depends on you on stopping usDk 37 zero attempt on target this team is shit
Msije mkaenda kwa Hadija Pilau. Huku nasikia ni hatari zaidi. Dar mji mzito sana wallahi...Kwa mariam biriani
Ana ZariCristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya soka kutwaa mataji katika Ligi tatu kubwa Italia ‘Serie A’, Hispania ‘La Liga’ na England ‘Premier League’.
Gazeti lote hili sijaona point hahahaa chezea mnyama. Nimeweka rekodi zote zisome umuelewe.Mnyama sijaona cha ajabu kwenye huo ubingwa wa Juve maana kwa misimu nane mfululizo jamaa wanachukua tu bila ata yeye kuwepo. Pia Juve walimsign mnyama kwaajili ya UCL ila imekua kama walibet tu coz mpaka sasa tayari hawapo huko.....
Kubwa mataji ktk ligi kubwa tatu sio kesi pia japo ndio kaweka record ila records nyingine za kitoto sana. Rejea timu alizopitia kipata hizo hizo ndoo Man U, Madrid, na Juve