Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kulikuwa na rumours kwamba jamaa alilalamika kuhusu naniliu ila sijui kama ilikuwa kweli. Kuna movie alicheza na ile role yake miaka hiyo shape zilikuwa za wazungu tu hata kwa celebrities wengi KE wa miaka ile. Ikabidi apoteze few pounds ili aweze kucheza ile role.

Dah wazungu na image zao za beauty zinatupelekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ