Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Heri ya Pasaka toka kwa Jùrgen Klopp
FB_IMG_1555870476555.jpeg
 
Ankoo nimetingwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga siielewi maniunaitedi ndo kabisaaa... Basi kimwili tu kwa majirani...

Pasaka imekwendaje binti yangu ?
Nikiondoa mapenzi kwa Mani yuu nipo vizuri kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ankoo mambo magumu kweli kweli ila ni kaupepo tyuuuu katapita

Pasaka imekwenda salama kabisa. Je huko mwakaleli pilau imelika vizuri,kyoda na juisi za kutosha zimenyweka?
 
Back
Top Bottom