Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manchester City inapania kumnunua kiungo wa kati Muargentina Thiago Almada, 17 - ambaye anasifiwa kuwa Lionel Messi mpya anayechezea moja ya vilabu tano kuu nchini mwake, Velez Sarsfield - kwa kimmkataba wa pauni milioni 20. (Sun)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ankoo mambo magumu kweli kweli ila ni kaupepo tyuuuu katapita

Pasaka imekwenda salama kabisa. Je huko mwakaleli pilau imelika vizuri,kyoda na juisi za kutosha zimenyweka?
Yaani ilikuwa ni mwendo wa kukoroga juishi ya supa dip na ndizi za kuchoma mwanzo mwisho... Hakika Mungu ni mwema tumeinjoika kwa kweli[emoji120][emoji120]
 
Hivi vijuisi sijui watoto wanavipendea nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lakin nakumbuka utoton nilikua mteja mkubwa wa vijuisi vya unga
 
Mchezaji wa Real Madrid Gareth Bale huenda akajiunga na ligi ya Uchina, Umoja wa milki za Kiarabu, MLS, ama moja ya vilabu tagika barani Ulaya - Lakini hilo linaweza kufanyika ikiwa mkataba wake wa sasa unaokadiriwa kuwa pauni 500,000 kwa wiki utasawazishwa na malipo ya Welshman ambaye mkataba wake unaendelea hadi mwaka 2022. (Mirror)
 
Back
Top Bottom