Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Sambaza likes
NOTED.Wanawake muwe makini. Ukipata intense orgasm halafu hapo hapo ukapata maumivu makali ya kichwa, inawezekana ikawa umepata brain haemorrhage yaani damu kuvia kwenye ubongo. Nilikuwa sijui lakini inaonekana ni tatizo linalowakumba baadhi ya wanawake japo mara nyingi madhara yake huwa siyo makubwa. Huyu mama yeye aliishia kupooza na sasa anaongoza juhudi za kusaidia akina mama wengine waliokumbwa na tatizo hilo na kuketa awareness...![]()
Thanks
Hiyo taarifa ya huyo mama niliiona sehem(natumai tunamzungumzia mtu mmoja)...on a serious note asante kwa ukumbushoWanawake muwe makini. Ukipata intense orgasm halafu hapo hapo ukapata maumivu makali ya kichwa, inawezekana ikawa umepata brain haemorrhage yaani damu kuvia kwenye ubongo. Nilikuwa sijui lakini inaonekana ni tatizo linalowakumba baadhi ya wanawake japo mara nyingi madhara yake huwa siyo makubwa. Huyu mama yeye aliishia kupooza na sasa anaongoza juhudi za kusaidia akina mama wengine waliokumbwa na tatizo hilo na kuketa awareness...![]()
[emoji125] [emoji125]Unamkuwadia eee
nimepata kigugumiz apoRIP victor
Teh teh tehHawezi huyo ila angalia ndoa yako[emoji23] [emoji23]
Shule ulikuwa unapenda somo gani?Lipi??nimefanyaje tena??
Nakuamini hubby nimechoka ulivyokuwa unahesabiwa vimada vyakoMbona nimetulia mama mbona toka uniteke humu ndani salama saivi
She is happy...and a real man must make and keep his woman happy. I am just doing my job WELL [emoji23][emoji23][emoji23]Shimba ya buyenze kama nakuona unavyo cheka cheka peke yako
NipoLeo umerudi!!