Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20190422-170342.png
 
Hahah!!! Najua hilo bro nakumbuka kuna siku humu ulisema huangalii empire sababu ya hayo mambo....

Fanya kutembea tembea maeneo ya pwani pwani bro baada ya muda naimani hutachukulia kwa uzito na unaweza ukajakua mmoja kati ya watu wanaomsumbua Mary biriani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana bro,,acha nibaki huku huku Kolomije
 
Hahah!!! Najua hilo bro nakumbuka kuna siku humu ulisema huangalii empire sababu ya hayo mambo....

Fanya kutembea tembea maeneo ya pwani pwani bro baada ya muda naimani hutachukulia kwa uzito na unaweza ukajakua mmoja kati ya watu wanaomsumbua Mary biriani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Inabidi awe anasikiliza kazi zao lakini Tabia zao hawaachie sema ukiwa ngumu sana unapata shida kuwasikiliza
 
Hehehe hatari mzee hapo inabidi kuwa mbunifu tu....

Jamaa wa kubet wanasema...

"Ukimuona mtoto wa Kihindi anaenda shule msisitize asome kwa bidii asifanye mchezo na masoma kwasababu ada unalipa wewe"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenichekesha sana,,na hii ni kweli kabsa,pesa zetu zile[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom