Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Aisee,,poleni sana,,huko ni mwendo wa kuvaa zile pullover,bushori kulala na soksi
Ndio inatakiwa hivyo bro, alafu kumbe ugumu nao ndio unawezakua tatizo? Inabidi jamaa apunguze ugumu kidogo mana wakijaga kulainika hawa jamaa wanalainikaga kweli kweliInabidi awe anasikiliza kazi zao lakini Tabia zao hawaachie sema ukiwa ngumu sana unapata shida kuwasikiliza
Hii issue hapa bongo ishakua kama kila petrol station kuita Shell, walianzisha haya mambo Wahindi sasa watu wamezoea hivyo vyovyo. Ukipigwa na Sportpesa au Meridian na wengine utasema Muhindi kanipigaAda wanalipa wao sio lakini kuna kampuni nyingine ni za wazungu si ndiyo
Hii issue hapa bongo ishakua kama kila petrol station kuita Sell, walianzisha haya mambo Wahindi sasa watu wamezoea hivyo vyovyo. Ukipigwa na Sportpesa au Meridian na wengine utasema Muhindi kanipiga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama vipi sogea victoria hapaHakika maana kwa muda mrefu unaonekana kua msanii kwenye jumba la sanaa
Hahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenichekesha sana,,na hii ni kweli kabsa,pesa zetu zile[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeNdio inatakiwa hivyo bro, alafu kumbe ugumu nao ndio unawezakua tatizo? Inabidi jamaa apunguze ugumu kidogo mana wakijaga kulainika hawa jamaa wanalainikaga kweli kweli
Ok sawa bro,acha tusikilize kazi zaoYeah namsikilizaga jamaa anaweza kuimba sana
Ndio inatakiwa hivyo bro, alafu kumbe ugumu nao ndio unawezakua tatizo? Inabidi jamaa apunguze ugumu kidogo mana wakijaga kulainika hawa jamaa wanalainikaga kweli kweli
Victoria ya wapi bro au hapo karibu na Bamaga? 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama vipi sogea victoria hapa
😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
Eeh hiyo hiyo bro[emoji23][emoji23]Victoria ya wapi bro au hapo karibu na Bamaga? [emoji23]
SanaaaaHahaha wakilainika inakuwaga hatari Tupu sio
Ndio maeneo unaroll sio?Eeh hiyo hiyo bro[emoji23][emoji23]
ndio bro [emoji23]Ndio maeneo unaroll sio?
Basi haina shida bro tutasomana mana hilo boda natumia sana ila kwa sasa nipo huku karibu na kwakina Mary birianindio bro [emoji23]
Sawa sawa bro,,msalimie mariamu biriani[emoji23][emoji23]Basi haina shida bro tutasomana mana hilo boda natumia sana ila kwa sasa nipo huku karibu na kwakina Mary biriani