Manunuzi ya dili mwaka 2018 yamegharimu nchi Sh Bilioni 432 halafu Watu wanapayuka kuwa kuna vita dhidi ya Rushwa? CAG anasema Manunuzi ya dili yameongezeka kwa asilimia Laki Moja!
Ukweli una tabia nzuri sana. Haujui mkubwa wala mdogo; haujui adui ama rafiki. Kwake watu wote ni Sawa. Pia ukweli unao tabia ya kujilipiza kisasi kama ukipuuzwa. Ukweli haupendi kupuuzwa!” J.K. Nyerere 1962.