Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa.Niende wapi?
View attachment 1078184
Mgumu hapendi, hapendwi wala kupendeka. Wee vipi Kamanda [emoji2937][emoji2937]
MAN U mpo?
Hawa akina mama wanaomba mechi ya kirafiki [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1078191
Jina la Biriani halitachuja wala kuchujwa kwa kalio la mwenye makalio yake.Mmeharibu kabisa jina la msosi huo..
Kabisa, mtaani ni habari nyingineMAISHA YA MTAANI UNAYOYAONA SIO YA HUKO SHULE ULIYOYASOMA
😁😁😁Biriani la ZahirJina la Biriani halitachuja wala kuchujwa kwa kalio la mwenye makalio yake.
Biriani itabaki kama ilivyo na radha yake ilele
Akae hukohuko hatumtaki na kiherehere chake😀Haji Manara amesema atahamia Yanga iwapo klabu ya Liverpool wataitoa Barcelona katika michuano ya UEFA Champion League ..
Nakuja kukujibu