Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Meneja wa klabu ya Manchester United Ole Gunnar Solskjaer, ameomba radhi kwa mashabiki wa klabu hiyo baada ya timu yake kukubali kichapo kizito cha goli 4-0 toka kwa Everton katika mchezo wa ligi kuu ya England.
United wamepoteza jumla ya michezo sita ya hivi karibuni ikiwa ni michezo nane katika michuano yote waliyokuwa wakishiriki ikiwemo ligi ya mabingwa barani ulaya.
 
Nataka niombe radhi kwa mashabiki wote wa klabu hii tulizidiwa katika kila idara ila tulipata hamasa ya kutosha toka kwa mashabiki wetu na tutajitahidi kufanya vyema siku ya jumatano." Hii ilikuwa Kauli ya Ole Gunnar Solskjaer, baada ya kumalizika kwa mchezo
Kwa Upande wake golikipa wa Man United David De Gea aliyekuwa nahodha katika mchezo huo amesema was " Ni ngumu kuweka katika manene vile anavyojisikia baada ya kipigo hicho kikubwa toka Ole apewe jukumu la kuinoa klabu hiyo."
 
Geuza simu yako iwe juu chini - kisha soma tena.Ongea na rafiki zako,mpenzi wako,mke wako si kila “I’m fine” inamaanisha hivo.....zingine nyuma yake zina disappointment,zina maumivu,zina kukata tamaa,zina depression sa zingine si rahisi kugundua haraka haraka mda mwingine anaweza kuchange ghafla usimwelewe mkagombana try to calm and talk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…