Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Barcelona wanatarajia kumtoa mchezaji wa safu ya kati wa kimataifa wa kutoka Chile Arturo Vidal, mwenye umri wa miaka 31, kwa kurefusha mkataba wake wa sasa , utakaokamilika 2021. (Sport)
Hahahhaa cole bana si tetesi hio imeanza,mambo yakiwa mengi mtajua tuSisi wakatalunya mbona habari hii hatuna
Binti Mpole Embu weka mambo sawa
The #1 widow maker in the world...Heart Attack