Duh aiseee imenipita hioKatajwa kwingine...
Ule uzi siku zile si alijifungulia mwenyewe.
Yupo juu.. hata Person of Interest ali act vizuri sanaExactly Frag,,huyu mdada anajua sana
Naikumbuka hiyo,,alikuwa bado binti binti hivi,,ukipata muda itafute What Men Want [emoji23][emoji23]Yupo juu.. hata Person of Interest ali act vizuri sana
Haiwezekani maana uzi wenyewe utafungwa kama zile nyingine I guess!Duh aiseee imenipita hio
Waifu wa mlozi huyu ni pasua kichwa...![]()
Wanaume wa JF muwe mnatuma nauli mkitaka kuonana na warembo mwenzenu kanitia hasara!
Kupatwa kwa mjanja!![emoji30] ......Sisi nauli hatutatuma ng'oo hadi rais wetu wa mabaharia Zero IQ atupe maelekezo!Hakuna kutuma nauli akitaka kuja akope atarudishiwa akifika, pia dakika zetu ni zile zile 25 mkuuwww.jamiiforums.com
Ni movie au series?Naikumbuka hiyo,,alikuwa bado binti binti hivi,,ukipata muda itafute What Men Want [emoji23][emoji23]