Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ulevi upo wa kila aina mkuuDC Muro umeagiza bendera za CHADEMA zishushwe Arumeru, Watendaji watakaokaidi agizo kazi hawana? Sheria gani umeitumia?Arumeru Sebule yako? Unajifanyisha kichaa? Nakuja leo kuipandisha Bendera karibu na Ofisi ulipo.
Unasema ukweli Bro. hii ndio tafsiri rahisi ya neno "Mchumia tumbo".Ulevi upo wa kila aina mkuu