Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna wakati unanifurahishaga sana bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Bro huyu Bintii ni mpole sanaa, wacha tumsitiri
emoji16.png
emoji16.png
 
Na mabifu na maugomvi na watu nayo yana athari zake. Huwezi kuwa na maugomvi na watu halafu utegemee kuwa na amani. Na ukosefu wa amani ni hatari sana.
Na kila anaemtukana lazima aseme ana ukimwi mara malaya ooh ana watoto wabaya,anajiuza. Yeye hajioni kabisaaa,mtu avae wigi moja wiki anamtukana ila yeye anavaa miezi sita wigi moja.
 
Back
Top Bottom