myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
likes..Shimba Buyenze nisaidie hili swali
Na mabifu na maugomvi na watu nayo yana athari zake. Huwezi kuwa na maugomvi na watu halafu utegemee kuwa na amani. Na ukosefu wa amani ni hatari sana.Hakuna cha mazoez hapo. Maisha yamekachapa barabara mchezo tokea kujiita muke ya muzungu mpaka muuza papa wa wazungu si kwa maporomoko hayo
Bro huyu Bintii ni mpole sanaa, wacha tumsitiriKuna wakati unanifurahishaga sana bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Swali gani?Shimba Buyenze nisaidie hili swali
😀😀😀😀😀Nimeshaonaaaaa. Msabwax feki. Ukiiona picha ambayo haijaeditiwa aiseee hizi sifa utatamani urudishiwe na fain juu
Kuna wanaoamini kuwa lengo kuu la maisha ni ANASA...ANASA
Like na Thanks ni kitu kimoja 😀😀Swali gani?
Kwa hiyo unasemaje Numbisa, tusimshobekee dada wa Taifa?Ooohhh mnashobokea wagen mara hawana lolote eti jaman mtu mwenye akili yake timamu anze shabikia hapa mfyuuuuuView attachment 1080833
[emoji16][emoji16][emoji16]. Kimsingi ni kitu kimoja kwa sababu lengo lake ni moja - kuaprishieti. Jirani yuko sahihi [emoji109][emoji109][emoji109]Like na Thanks ni kitu kimoja [emoji3][emoji3]
Shukrani[emoji16][emoji16][emoji16]. Kimsingi ni kitu kimoja kwa sababu lengo lake ni moja - kuaprishieti. Jirani yuko sahihi [emoji109][emoji109][emoji109]
Hicho cheo hakimtoshi. Dada wa taifa hawezi kuwa na matusi namna hiyo - tena na kila mtu. Ana mengi ya kujifunza kutoka kwa shangazi wa taifa !!!Kwa hiyo unasemaje Numbisa, tusimshobekee dada wa Taifa?
Na kila anaemtukana lazima aseme ana ukimwi mara malaya ooh ana watoto wabaya,anajiuza. Yeye hajioni kabisaaa,mtu avae wigi moja wiki anamtukana ila yeye anavaa miezi sita wigi moja.Na mabifu na maugomvi na watu nayo yana athari zake. Huwezi kuwa na maugomvi na watu halafu utegemee kuwa na amani. Na ukosefu wa amani ni hatari sana.