Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
KigEugeu huyo hachelewi kuwauza kuweni makini nae sana. Alipotibuana na mumewe si akaanza ropoka eti ya wazungu ya baridi sana mara hajakatwa. Siku akizinguana na mbowe utaona masiri atakayomwaga hana maana kabisaKwa hiyo unasemaje Numbisa, tusimshobekee dada wa Taifa?
Huu utani mkuu....
Hee kwan kimbunga kimeshafika?DUA ZETU KWA NDUGU ZETU WA MTWARA
SAWAAA.....KABLA HUJAMPATA MTU WA KUDUMU KWENYE MAHUSIANO ,JITAFUTE KWANZA WEWE. UJITAMBUE.
HapanaHee kwan kimbunga kimeshafika?
KigEugeu huyo hachelewi kuwauza kuweni makini nae sana. Alipotibuana na mumewe si akaanza ropoka eti ya wazungu ya baridi sana mara hajakatwa. Siku akizinguana na mbowe utaona masiri atakayomwaga hana maana kabisa
Salama kabisa,za ulipo?Binti Mpole habari za Asubuhi
Kuna wakati unanifurahishaga sana bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahhaa
Leo una hasira sana.
Pole sana, tusubiri msimu ujao watajua sisi UNITED ni akina nani!!