Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Man United – mara 12

Liverpool pengine imepata mafanikio makubwa ya kubeba ubingwa wa Ulaya mara nyingi kwa timu za England, lakini Manchester United wao wanashikilia rekodi ya kucheza nusu fainali mara nyingi kwenye michuano hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
 
Msimu huu Man United imeshindwa kufikia hatua hiyo kwa kutupwa nje kwenye robo fainali na Barcelona, lakini jambo hilo haliwaondolei sifa yao ya kuwa timu iliyofika nusu fainali mara nyingi kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa timu za England.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…