Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Spurs bado haijawahi kubeba ubingwa wa michuano hiyo ya Ulaya, hivyo wanapambana kwa nguvu zote kupambana kuubeba ubingwa huo ambapo kwenye hatua hiyo ya nusu fainali watakuwa na shughuli pevu ya kuwakabili Ajax Amsterdam ya Uholanzi ambao kwa sasa wanapiga soka la kiwango cha juu sana.