Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna pengo aisee mtu mliyemzoea akiondoka. Jirani yuko sahihi anaposemaga kuwa kila mtu ana umuhimu wake. Carba ameacha pengo kubwa sana. Tofauti zetu hizi ndizo zinaukamilisha uzi huu...Heee mwezi mzima aiseee tutapwaya humu..carb rudiiiii
Ila baada ya mwezi nitarudi Mungu Akipenda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]